Tuesday, March 17, 2009

Kitendo alichofanya Mwanangu
Kimenisikitisha Sana..
Pichani ni Mama Mzazi wa Kijana Ibrahim Saidi (26) aliyehukumiwa Kifungo cha Mwaka Mmoja kwa Kosa la Kumshambilia na kumpiga kofi Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Alhaji Hassan Mwinyi Juzi kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee alipokua akihutubia Baraza la Maulid akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kufwatia Kitendo alichofanya Mwanae nakusema kwamba kimemsikitisha sana.Picha na Mdau Fadhil Akida

No comments: