Tuesday, March 17, 2009

Rais Kikwete na
Dr Salmin..
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dr.Salmin Amour(kushoto)baada ya kuhudhuria Maulid iliyoandaliwa na Dr.Salmin huko kijijini kwake Kidombo huko Zenji juzi.Picha na Mdau Freddy Maro/ikulu

No comments: