Tuesday, July 15, 2008

Tutembelee Hifadhi
Zetu...
Mdau wa Arusha Victor Mujwauzi Karugaba na ubavu wake Rose Kapinga Mujwauzi wakiwa ngorongoro crater.tunapenda kuwashauri watanzania wenzetu tujenge mazoea ya kutembelea hifadhi zetu,Sio tunasoma tu kwenye historia na jiografia,tunapoweza tujitahidi hasa kifamilia, kiofisi n.k.kutembelea hifadhi hizo,kupanda mlima kilimanjaro n.k .Tuithamini nchi yetu na vivutio vyetu

No comments: