Tuesday, July 15, 2008

Jeshi la Polisi laanzisha Dawati Maalum
la Wanawake na Watoto..
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania(IGP)Said Mwema(Kulia)akiteta jambo na Mkuu wa Chuo cha Polisi Kilwa Road jijini Dar es Salaam Afande Mapunda alipowasili kufungua mafunzo rasmi ya uanzishwaji wa dawati la kushughulikia masuala ya watoto na wanawake ambalo litaanzishwa katika vituo vyote vya polisi nchini Tanzania.
Mkuu wa jeshi la Poisi nchini Tanzania (IGP)Said Mwema akisalimia na makamanda wa polisi wa Wilaya za Temeke Afande Kandihabi(Wa Kwanza Kushoto),Ilala Afande Shilogile(kulia)na Kinondoni Afande Kalunguyeye(Wa pili kulia) jana jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa mafunzo maalum ya uanzishwaji wa Dawati Maalum la kusikiliza shida za Wanawake na Watoto kwenye Vituo Vyote vya polisi nchini Tanzania.Picha na Mdau Bernard Rwebangira/TSN

No comments: