jk ziarani tanga
JK akiongea na wakazi wa wilkaya ya Lushoto muda mfupi baada ya kufungua jengo jipya la huduma ya nje(Out patients Department OPD) katika hospitali ya wilaya ya Lushoto.Jengo hilo limejengwa kwa msaada wa Serikali ya Ujerumani.
JK akiongea na meneja wa mradi wa afya wa Serikalki ya Ujerumani wa kuisadia Tanzania Dr.Bergis Schmidt-Ehry muda mfupi baada ya kufungua jengo la OPD katika hospitali ya wilaya ya Lushoto.Jenmgo Hilo limejengwa kwa msaada wa Serikali ya Ujerumani.
No comments:
Post a Comment