Friday, July 18, 2008

cosota kutoa mirabaha leo


Chama cha Hakimiliki nchini, COSOTA, kinapenda kuwatangazia Wanachama wake na wale wote waliosajili kazi za Muziki na Filamu COSOTA, kwamba leo 18/07/2008, kutakuwa na hafla ya kutoa rasmi gawio la tano la Mirabaha kama inavyoonekana hapo juu.

Shughuli hiyo itafanyika katika ukumbi wa Dar es salaam International Conference Centre ulioko PPF Tower. Mgeni rasmi katika hafla hiyo atakuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko Dkt. Stergomena L. Tax.

Imetolewa na:-
Afisa Mtendaji Mkuu,
Chama cha Hakimiliki Tanzania,
S.L.P 6388,
Dar es salaam.
Simu: +255-22-2125981
Nukushi: +255-22-2125982
Barua pepe:
cosota@intafrica.com
Tovuti: www.cosota-tz.org

No comments: