Visura wa Miss Temeke
2008...

--------------
Warembo wa tatu watakaoshika nafasi za juu kwenye kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa Temeke, Miss Temeke watapata zawadi ya Sh 800,000 kila mmoja.Akizungumza na waandishi wa Habari jana Mratibu wa Onyesho hilo Benny Kisaka alisema ana sababu kuu mbili za kutoa zawadi za kulingana,kwanza warembo watakuwa na siku mbili za kujiandaa na fainali za taifa ambapo watatakiwa kuingia kambini Julai 9,hivyo kiwango cha pesa kitawawezesha kufanya maandalizi kuliko kuwapa vitu.Shindano hilo litafanyika keshokutwa kwenye ukumbi wa TCC Chang’ombe.Habari hii na HabariLeo/TSN
No comments:
Post a Comment