Monday, July 14, 2008

Mwakilishi Wetu Miss Universe
2008 Vietnam...


Miss Tanzania na Mwakilishi kwetu kwenye Mashindano ya kutafuta Miss Universe 2008 Kimwana Amanda Ole Sulul Pichani akiwa katika pozi mbalimbali kwenye mashindano hayo yaliyofanyika usiku wa kuamkia leo nchini Vietnam,Nha Trang,Amanda alishindwa kutinga katika 15 bora kwenye mashindano hayo ambazo ndio zilikuwa zinagombaniwa na washiriki mbalimbali ili kuweza kudaka Taji hilo la Miss Universe 2008 ambalo kwa Mwaka huu 2008 limekwenda kwa Miss Vennezuela Dayana Mendoza.

No comments: