Saturday, July 19, 2008

Maendeleo ya Ziara ya Rais Kikwete
Mkoani Tanga...
Rais Jakaya Kikwete akipanda mti wa kumbukumbu katika zahanati ya Vuo, wilaya mpya ya Mkinga, muda mfupi baada ya kuifungua zahanati hiyo.Rais Jakaya Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara kikazi kukagua na kuzindua shughuli za maendeleo.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wa tarafa ya Maramba,katika
wilaya mpya ya Mkinga,Mkoani Tanga.
Umati Mkubwa wa wananchi wa Tarafa ya Maramba wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete(Kwenye gari Katikati)wakati aliposimama na kuongea nao.Picha na Freddy Maro/ikulu

No comments: