Monday, July 21, 2008

Bibi Makihiyo na Rais
Kikwete...
Rais Jakaya Kikwete alisalimiana na Bibi Makihiyo Baluah anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 102 wakati alipomtembelea bibi huyo nyumbani kwake mjini Korogwe wakati wa ziara yake mkoani Tanga.Bibi Baluah ni mke wa hayati Mzee Baluah ambaye alikuwa rafiki yake hayati Mzee Mrisho Kikwete,baba yake Jakaya Kikwete ambaye yupo mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kukagua na kufungua miradi ya maendeleo.Picha na Freddy Maro/Ikulu

No comments: