warembo wakipata maelezo juu ya nyumbani kwa mwalimu butiama chifu wanzagi akiongea na warembo butiama mamiss na msafara wao wakipata maelezo ya nyumba za butiama mamiss wakizunguka kuangalia mandhari nzuri ya kijijini butiama warembo wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la baba wa taifa butiama
hii ziara ya butiama ni mojawapo ya shughuli ambazo watembo hawa wamekuwa wanazifanya katika ziara yao ya wiki moja jijini mwanza wakati wakijiandaa kupanda jukwaani kesho usiku kwenye ukumbi wa nssf kushindania taji la balozi wa redds. ziara hii imefadhiliwa na kuratibiwa na kilaji cha redds premium cold kinachotengenezwa na tanzania breweries limited
No comments:
Post a Comment