Saturday, July 12, 2008

Kuna Wanaokwenda B'Moyo Kujifunza Ngoma!

Baadhi ni watalii toka ughaibuni, wanalipa kwa dola. Chuo cha Sanaa Bagamoyo nacho kinatoa mafunzo kwa wageni. Mafunzo ya kupiga ngoma za utamaduni wetu na kucheza.

No comments: