
BAMBATAA PARTY NDANI YA JIJI LA TOKYO
KILE KILICHOKUWA KINASUBILIWA KWA HAMU SASA KIMEIVA.
NI ILE TANZANIAN CLUB IN TOKYO PALE MUKOGAOKA-YUEN STATION.
KUTAKUWA NA DISCO KALI LENYE MANDHARI YA KITANZANIA KUANZIA
JUMAMOSI SAA TATU USIKU MPAKA CHWEE.
WATANZANIA WOTE WANAOISHIMAENEO YA TOKYO,KANAGAWA,CHIBA NK.MNAKARIBISHWA MJE KUKUMBUKA
ENZI ZA TAZARA,PINK ,POOL SIDE BILA KUSAHAU MUZIKI WA KIZAZI KIPYA.
KWA MAELEZO KAMILI WASILIANA NA TANZANIAN DJ IN JAPAN DJ PEMBE.
PARTY ITAKUWA NA WAGENI TOKA NCHI MBALIMBALI ( WAJAPAN NK).
PARTY HII ITAFUATANA NA MAANDALIZI YA KUMUALIKA BWANA ALI KIBA. TUNAPENDA KUMPA UJUMBE BWANA ALI KIBA KWAMBA AFTER UK THEN
JAPAN.TUNAMSUBIRI.
No comments:
Post a Comment