Thursday, June 12, 2008

Mrema anaendelea Vizuri..


Mwenyekiti wa Chama Cha Tanzania Labour (TLP) Augustine Mrema (Katikati)akifarijiwa na mkewe (wa kwanza kulia)na Mwenyekiti wa TLP mkoa wa Arusha Leonard Makanzo,kwenye Hospitali ya Rufaa ya KCMC Mkoani Kilimanjaro leo ambapo anaendelea vizuri na matibabu.Picha na AllySonda/Moshi

No comments: