Saturday, June 28, 2008

mtumishi mwakasege kutua dallas septemba

Ndugu, Jamaa na Marafiki,


Tunapenda kuwakaribisha kwenye semina ya neno la Mungu itakayohudumiwa na watumishi wa Mungu CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE toka Tanzania.


Semina hii ya kipekee na yenye ujumbe maalum kwa kila mtu itafanyika Dallas,Texas USA September 12 hadi 14 2008.


Mungu amekuwa akiwatumia hawa watumishi ndani na nje ya nchi kwa Upako na wengi wamefunguliwa,kuponywa na kutiwa moyo kupitia huduma hii.


Unaweza kujionea yale Mungu anayotenda kwenye mtandao huu
WWW.MWAKASEGE.ORG Maelekezo zaidi kuhusiana na sehemu itakapofanyika pamoja na utaratibu mzima vitafuata.

Tafadhali mtaarifu mwingine juu ya Semina ya Baraka!


Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana kwa njia ya email :- KULA.MANA@YAHOO.COM


au simu kama zifuatazo:-

Dallas: 21-440-9674 //469-233-6627 // 214-554-7381

Chicago: 312-823-5878

Atlanta:404-245-5339 //678-982-2113

Boston: 978-726-2227Ohio:214-505-8514

Alabama: 402-770-6376

Minnesota:651-263-7831//763-238-1617// 952-564-8298

Penginepo:651-334-0163

Timu ya Maandalizi,

Mungu Awabariki....!!

No comments: