Ujenzi Wa Maghorofa: Taratibu Ziko Vipi?
Wanakijiji wenzangu,Naomba tuelimishane. Sijawahi kuona jengo la ghorofa nne katika mikoa ya Iringa, Mbeya na hata Ruvuma. Pichani jengo hilo linajengwa Iringa. Llina ghorofa zaidi ya tatu. Hivi ni kwanini mikoa hii haina majengo ya ghorofa zaidi ya tatu? Utaratibu uko vipi?
No comments:
Post a Comment