Tuesday, June 17, 2008

Ali Kiba azama Studio
Oslo


Katika mambo ya kuendeleza libeneke ndani ya oslo.Ali kiba ameingia studio kurekodi pamoja na wakali wa rap kutoka senegal ambao wanatarajia kutoa single pamoja na msanii Ali kwa jinsi anavyo kubalika wadau wakae mkao wa kula kwa vbionjo vya songi hilo vitakuja LIVE hapa kwenye BLOG hii..
Hassan,oslo

No comments: