Saturday, June 28, 2008

Rais Kikwete arejea...
Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akitokea Swaziland na Rwanda alikohudhuria mikutano ya Wakuu wa Nchi za SADC na wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyomalizika jana.Picha na Amour Nassor wa Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments: