Saturday, June 28, 2008

ma DJ veterani
dj chris phabby the lover (shoto) akiwa na dj ngomeley. hawa ni baadhi ya watoa burudani enzi hizo za 'maiko jekson njoo, sitaaaaaki, kama hutaki nenda...' nina imani bonny luv atawawakilisha vyema kwenye oldskul party huko columbus siku ya siku ikiwadia. dj luke upo hapo? unakumbuka dy chris phabby alivyokuwa anamwaga lazi ymca na dj ngomeley alivykuwa kule rungwe oceanic kwa mzee mwakitwange??

No comments: