Wednesday, June 25, 2008

Askari wa jiji Vipi?

Mpiga picha maalum wa ThisDay amepiga picha hii ikionyesha ni askari wa jiji la Dar es Salaam wakimpandisha muuza machungwa(mmachinga)kwenye gari la jiji baada ya kumkamata akiuza machungwa eneo la Mtaa wa Congo jijini Dar es Salaam.hii ndio kazi ya Mgambo wa jiji bwana,ukicheki kwa makini hawa wengine wanachungulia machungwa..Je Tutafika?

No comments: