Bi Salama Mshindi wa Rav 4
ya Celtel..

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Celtel Tanzania,Celine Njuju (kushoto) akizungumza na mshindi wa nne wa gari aina ya Toyota RAV 4 katika promosheni ya Endesha Ndoto Yako 2,Salama Kiduli (katikati) nyumbani kwake Picha ya Ndege wilayani Kibaha,Pwani jana.Salama anatarajiwa kukabidhiwa gari hilo jana.Kulia ni mumewe,Suleiman Nassoro.
No comments:
Post a Comment