Saturday, June 28, 2008

warembo kukosha magari kwa hisani

Bonanza hili litafanyika leaders club Julai 5, 2008 ambapo warembo walioshiriki miss Tanzania kuanzia mwaka 1994 hadi sasa.

Warembo hao wataosha magari ya watu mbalimbali kwa ajili ya kutunisha mfuko wa sickle cell foundation Tanzania.

Zoezi hili litadhaminiwa na Tigo, Le Grande Casino, Clouds 88.4 FM, Fleet & Fuel Technologies, Redds PremiumCold

No comments: