Wednesday, June 25, 2008

bungeni
kuna mdau aliyetaka kujua namna mh. john malecela na mai waifu wake mh. anna kilango wanavyokaa wakiwa bungeni. picha hii inayoonesha matangazo ya tbc ya moja kwa moja ni wakati wa kupitisha bajeti ya serikali . kwa kawaida mzee malecela na mama kilango hukaa kila mtu na sehemu yake, ila nahisi kuna jambo walikuwa wanajadiliana ndipo mama akamfuata mzee. na kwa mujibu wa ofisa wa bunge kila mh. amepangiwa kiti chake na huwa hakibadiliki. na pale mh. anapoacha kuwa waziri, ambapo mawaziri huwa na sehemu yao, na kuwa mbunge wa kawaida ambapo aghalabu abadilishana makazi na aliyechukua wadhifa wake

No comments: