Monday, June 16, 2008

Ajali ya Magari Arusha !!

Ajali hii iliusisha gari pichani na Airbus lifanyalo safari kati ya Arusha na Tanga ila inasemekana Dereva wa Airbus ndio alikuwa chanzo cha ajali hiyo iliyoacha majeruhi na vifo kibaya zaidi dereva wa Airbus alikuwa anaovertake darajani na huyu ni dereva mwenye leseni ya class C ambayo ni kubwa kwa hapa nchini au ndio leseni za kupeana ! Maoni plz wadau tufanye nini kuepusha ajali kama hizi !

1 comment:

Anonymous said...

What a great moment of reading blogs.