Saturday, June 28, 2008

Maisha ya Mtanzania
Halisi..
Msichana wa kabila la Wabarbeig wa kitongoji cha Maramboi akiwachunga ng'ombe katika eneo ambalo wametakiwa kuondoka kutokana na serikali ya kijiji chao cha vilima viwili kulikodisha kwa mwekezaji wa kifaransa En Un Lodge.Picha na mussa juma

No comments: