Friday, June 27, 2008

Nipe Tano.
-----------------
Karibuni kwenye ulimwengu mpya wa nipe tano ambao unajumuisha vijana mbali mbali katika kubadilishana mawazo na kudumisha urafiki pamoja na kuongelea mambo mbali mbali na kuna kila aina za burudani za multimedia kuanzia miziki,picha mpaka videos. ukitaka kujiunga gonga hapa(kujiunga) au kama tayari ni mdau gonga hapa(Kuingia) kupata mpya zilizojiriwww.nipetano.ning.com

No comments: