Saturday, June 28, 2008

iliyokuwa klabu ya relwe gerezani ilivyo sasa
sehemu za uani (juu) na barazani pa iliyokuwa klabu ya relwe gerezani inavyoonekana leo. itapokamilika na kufunguliwa itajulikana kama city garden club mmiliki akiwa mdau yule yule wa paradise beach resort ya bagamoyo, city garden na dar es salaam international conference centre na pia city garden restaurant ambayo zamani ni cosy cafe usoni pa mbowe hotel ama billicanas kwa sasa

No comments: