Wadau Kibao Miss Tanzania
Uk 2008..

Mwanamuziki Banana Zorro akifanya vitu vyake Miss Tanzania Uk 2008
Mwanamuziki Hafsa Kazinja akitoa burudani mwanana kabisa Usiku wa Miss
Tanzania Uk 2008

Mshiriki wa Big Brother Africa 2008 kutoka Tanzania Richard Bezuidenhout (kulia)nae alikuwepo Miss Tanzania Uk 2008

Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga (Kulia)nae alikuwepo kwenye shindano la Miss Tanzania Uk 2008

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)London bi Sussan Mzee(kulia)akiwa katika picha ya Pamoja na Mama yake Mzazi(Kati) na Mr Mzee ndani ya Miss Tanzania Uk 2008
No comments:
Post a Comment