Wednesday, June 25, 2008

Anna na Regina..
MKE wa Rais mstaafu Benjamini Mkapa,Mama Anna,akifurahia jambo kwa staili ya kugonga na mke wa aliyekuwa Waziri Mkuu Bw.Edward Lowassa,Bibi Regina,baada ya uzinduzi wa mafunzo ya wanawake wajasiriamali kutoka mikoa mbalimbali nchini uliofanyika Dar es Salaam juzi.Picha na Peter Twite

No comments: