Wednesday, June 25, 2008

Flora Mbasha Kuzindua Furaha
Yako Dodoma
Mwanamuziki Mashukuri wa nyimbo za injili nchini Tanzania Flora Mbasha akiongea na wandishi wa habari juu ya Uzinduzi wa albamu yake ya tatu iitwayo Furaha yako mjini Dodoma mwisho wa wiki hii ambapo mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda mgeni rasm ni Mtoto wa Mkulima kushoto ni Mume Wake Emmanuel Mbasha.Picha na Mdau Bernard Rwebangira

No comments: