Monday, June 30, 2008

Tafakari Hali
hii.......
Pichani ni vijana wadogo(watoto)wakichota maji kwenye moja ya visima vya maji ambayo si salama kama muonavyo pichani.Kisima hiki kipo maeneo ya Morogoro Road na Nelson jijini Dar es Salaam.Picha hii na mpiga picha maalum wa ThisDay

No comments: