Friday, June 27, 2008

Happiness Magese Yupo
Juuu....


Pichani ni Former Miss Tanzania & Super Model Happiness Magese anaendelea kufanya vyema sana kwenye Medani ya mambo ya Fashion & Modelling huko bondeni South Africa.kwa mengi zaidi juu ya mambo ya mavazi na Nitoke Vipi tembelea Sheria & Mavazi kwa kubofya Hapa

No comments: