Thursday, June 26, 2008

Tangazo kuhusu upotevu wa Laptop
k
una mdau namba moja wa blog Hii wamemuibia laptop aina ya Acer Extensa 4210 ram RAM ni 1GB na HDD 80 GB
zawadi nono itatolewa na mmiliki wa hiyo laptop
namba za simu ni
0717051738 au 0775004836
kwa jina anaitwa Prof Ludewa.

No comments: