Thursday, June 12, 2008

Nakaaya..


Kuna wadau wameomba kumwona mwimbaji mashuhuri bongo anayekwangua nyoyoo za watu kwa kibao chake cha Mr Politician Nakaaya Sumari kwa Ukaribu zaidi naomba kuwasilisha.Picha kwa msaada mkubwa wa Mdau Bernard Rwebangira.

No comments: