Friday, June 13, 2008

promosheni ya dezodezo yazinduliwa

Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Noel Herrity kushoto, akifafanua jambo kuhusiana na Promosheni mpya inayoitwa Zantel Dezodezo iliyozinduliwa makao makuu ya Ofisi za Zantel Dar es salaam siku za karibuni ,kulia ni meneja matangazo na promosheni wa kampuni hiyo William Mpinga.

2 comments:

Anonymous said...

Katon, Goukakyu no jutsu.

Anonymous said...

Damu pa kmu to?.. Nano ni klase blog man?