Friday, June 13, 2008

Profesa Kwenye Uwanja Wake Wa Nyumbani!

Ni Prof. Msolla , Mbunge wa Kilolo a Waziri Wa Kilimo na Chakula. Akiwa kwao Kilolo alitoa zawadi za kompyuta zilizozusha mjadala mkubwa hapa kijijini.
wanakijiji Wakimsikiliza Mbunge wao, Prof. Msola, jimboni Kilolo hivi karibuni.

No comments: