
Mmoja kati ya madj machachari nchini Uingereza Dj Rule kutoka Bongo Family anapenda kuwakaribisha wadau wote nchini Uingereza kwenye Show ya Mwisho ya mwanamuziki kutoka Bongo Ali Kiba leo ndani ya Club Afrique,Barking Road London,E15 4hq kwa kiingilio cha Paundi 10 tu..
Msikoseeee..!!
No comments:
Post a Comment