Thursday, June 12, 2008

mdau wenu fikiri hafidh anawauliza mko wapi ?


kaka napenda sana kipindi cha power breakfast lakini katika wiki kama mbili sasa naona hakuna hawa watu ambao nimewazoea Fina Mango na Masudi Kipanya sasa hawa watu wako wapi na kama wamesafiri wawe na tabia ya kusema sio unapotea tu

No comments: