Thursday, June 12, 2008

meddy


Baada ya kimya kirefu na kutoonekana kwa muda mrefu,hivi karibuni Mohamed Mpakanjia 'Meddy', (pichani)alijitokeza kwenye Tunzo za Vinara Awards 2008 zilizofanyika ndani ya ukumbi wa diamond jubilee kuwashuhudia washkaji zake kibao akiwemo akina Dr Cheni,JB na wengineo

1 comment:

Anonymous said...

Such a nice blog. I hope you will create another post like this.