Thursday, June 12, 2008

tuzo za kili


Pichani ni makamu mwenyekiti wa Kamati ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards, John Dilinga Matumona au DJ JD. akiwa katika mkutano na waandishi wa habari siku za karibuni asubuhi jijini Dar wakati wa kutaja majina ya wasanii wanaowania tuzo hizo mwaka huu.

No comments: