Friday, June 13, 2008

Marehemu Omary Jaffari Ngwaya aagwa Rasmi Jana !!


Pichani ni Ndugu jamaa na marafiki waliofika kuaga mwili wa Marehemu Omary Jafferi Ngwaya jana nchini italy kabla mwili wa marehemu kusafirishwa kwenda Tanzania kwa mazishi.Mwili wa marehemu Omary Jafferi Ngwaya unatarajia kuondoka siku ya Jumamosi tarehe 14/06/2008 kutokea ROMA na ndege ya shirika la SWISS namba : LX1733 saa 19:50 na kufika ZURICH saa 21:30.

Mwili utaondoka tena Zurich siku ya jumatatu tarehe 16/06/2008 na ndege ya shirika la SWISS NAMBA: LX292 Saa 09:35hr na kufika DARES SALAAM TANZANIA saa 20:10 hrs.
KWA TAARIFA ZA MAZIKO HUKO NYUMBANI(TANZANIA)
PIGA SIMU NAMBA :
CELL. 0717 683912

1 comment:

Anonymous said...

This topic have a tendency to become boring but with your creativeness its great.