Friday, June 13, 2008

KILAJI


Kuna siku zinakuwa za bahati kwa wabomgo kama gari la TBL lilipoanguka na kumwaga safari kibaoo barabarani, jamaa mtaa mzima walikuwa bwiii!!!!

No comments: