Tuesday, June 10, 2008

Kikao Cha Bunge Kuanza Leooo !!!!!


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Samwel Sitta (kushoto)baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma jana kuhudhuria kikao cha bunge kinachoanza Leo.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakisalimiana na viongozi wa Mkoa wa Dodoma baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha Bunge kinachoanza Leo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo,William Lukuvi.

No comments: