Tuesday, June 10, 2008

cameroun wavamia dar !!



umati wa wadau ukiwakodolea macho wacehzaji wa cameroun waliotua dar leo tayari kwa mchezo wao na taifa stars jumamosi hii kwenye uwanja wa neshno mpya. katika hapo almaarufu ni huyo mwente rasta ambaye anaitwa benjamin song, mtoto wa rigobert song

No comments: