Tuesday, June 10, 2008

Mambo ya Cape Verde.


Pichani ni Kikosi cha Taifa Stars kilicholambwa goli 1-0 na Cape Verde juzi katika mchezo wa marudiano baada ya kutoka sare 1-1 jijini Dar es Salaam wiki iliyopita.



Picha juu ni vimwana ambao ni washangiliaji wa timu ya Cape Verde wakifanya vitu vyao juzi kwenye mpambano wao na Taifa Stars nakuwalamba 1-0.kufungwa kwa Taifa Stars kumesababisha Baadhi ya Mashabiki kukata tamaa na hata kupoteza matumaini ya mchezo ujao dhidi ya Cameroon.
Stars itapambana na Cameroon katika mchezo wa tatu wa michuano hiyo utakaofanyika Jumamosi kwenye Uwanja Mkuu waTanzania jijini Dar es Salaam.Picha hizi kutoka Cape Verde kwa msaada mkubwa wa Mdau Saleh Ally

No comments: