
Rais Jakaya Kikwete,Makamu wa Rais Dk.Ali Mohamed Shein na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange,wakishuhudia mwili wa Kanali Wakete,ambaye alikuwa rubani wa helkopta ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania iliyoanguka Arusha juzi,kwenye Uwanja wa Ndege wa Jeshi Ukonga,jijini Dar es Salaam jana,wakati miili ya marehemu wa ajali hiyo ilipokuwa ikiagwa kwenda kwao kwa maziko.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment