Habari za leo kaka Kadidi2?
Naomba uwasilishe hii!
Kwa niamba ya wapenzi na mashabiki wote wa klabu ya Chelsea wana wa Stamford Bridge a.k.a the Blues, napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa klabu kwa kumchagua mzee mzima Luiz Felipe Scolari ama 'Big Phill' kuwa kocha mpya wa Chelsea. Natumaini mambo makubwa zaidi yatafuata! Wenye wivu mjinyonge!
Taarifa ifwatayo imetolewa rasmi na Klabu:
Chelsea Football Club is delighted to confirm that Luiz Felipe Scolari will be the club's new manager from July 1, 2008.
Felipe has great qualities. He is one of the world's top coaches with a record of success at country and club level, he gets the best out of a talented squad of players and his ambitions and expectations match ours.
He was the outstanding choice.
Out of respect for his current role as Head Coach of the Portuguese national team, and to ensure minimum disruption to this work, there will be no further comment from Chelsea FC nor from Felipe about his new role until his employment with us commences.
Mdau nambari wani wa Chelsea,
Machu.
No comments:
Post a Comment