Monday, June 9, 2008

Balozi Young..


Balozi Andrew Young akimpa busu mkewe mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa nane wa Sullivan uliyofanyika mjini Arusha Tanzania hivi karibuni.Picha za Edwin Mjwahuzi.
kumbe hata wakubwa wamo kweli hii imekaa njema kichizi wadau !!

No comments: