Monday, June 9, 2008

Mheshimiwa Alli wa Juwatai..


Pichani ni Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Italy (JUWATAI) Ndugu
ABDULRAHAMANI A. ALLI. jumuiya ya JUWATAI ni chombo maalum kabisa kilichoundwa kuongoza na kusimamia haki,maslahi na shughuli zote za watanzania wanaoishi ITALY,chini ya ubalozi wa Tanzania Rome.Kwa mengi zaidi juu ya shughuli za Jumuiya hii ya Watanzania nchini italy

No comments: