Mara nyingine watoto/vijana wa mjini wanaona kila mtu ni mtu wa kuchezea, Pichani ni kijana mmoja jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa amekunjwa shati na Mmama baada ya kumdhulumu Mmama huyu hela ya supu,Hongereni sana wajasiliamali wakinamama kwa kujitetea kwa kukosha Tabia kama Hizi.
No comments:
Post a Comment